Habari, nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF Mkoa wa Mtwara, hasa Wilaya ya Masasi.
Kuna baadhi ya watumishi waliokuwa wakifanya kazi katika Kituo cha Afya Rehema, Newala, ambao walikuwa wanakatwa fedha zao za NSSF. Hata hivyo, baada ya kuondoka kazini Mwaka 2023, hadi leo (Septemba 2026)...