nje ya uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  2. Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  3. Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

    Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani. Inaleta maudhi kuona baadhi...
  4. Simba SC vs Yanga SC nje ya uwanja

    Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA 1. SimbaSCTanzania - 647 K 2. Yangasc1935 - 167 K 2. OfficialGMFC - 161 K 4. Azamfc - 142 K 5. AFCLeopards - 100 K 6. Rayon_sports - 67.2 K 7. KCCAFC - 58.5 K 8. VipersSC - 47.9 K 9. Aprfcofficial3 - 46.8 K 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…