Wakuu, leo nimeamka na nyuzi za mambo yangu binafsi yanayonisibu.
Wakuu mimi na mke wangu ndoa yetu ina miaka kadhaa, ipo hivi huyu mwanamke tunajuana nae na tulikua marafiki tokea tukiwa chuo.Baada ya kumaliza chuo nikaoa mwanamke mwingine lakini tukashindwana nae (Niliwahi kuleta uzi hapa)...