Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine...