Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga, amesema yuko tayari kuwa "chawa kwa Rais" ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu za afya, elimu, maji na barabara.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Nanda kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amekiri kuwa eneo...