Salam Wakuu,
Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani!
Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa...