Rapa Nicki Minaj na kampuni yake, Pink Friday Productions, wamefunguliwa mashtaka wakidaiwa zaidi ya dola 275K (takriban Tsh. Milioni 714.2) na kampuni ya 24/7 Productions kutokana na gharama za maandalizi ya matamasha ambazo hazijalipwa.
Kampuni hiyo inadai kuwa ilitoa gharama za awali kwa...