nicholaus george ngassa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Nicholaus Ngassa autaka tena ubunge jimbo la Igunga

    Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine. Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
  2. PreGE2025 Igunga: Mbunge Ngassa Kupiga Kambi Jimboni kwa Siku 30

    IGUNGA: "MBUNGE NGASSA KUPIGA KAMBI JIMBONI KWA SIKU THELATHINI" 📌 Kufanya Ziara kwenye Vitongoji vyote vya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Igunga kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi 📌 Kukutana na Wananchi wa Kata Kumi na Sita za Jimbo la Igunga Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…