ngonyani wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Ngonyani azindua kampeni za udiwani kata ya Forest, aahidi kuwainua wananchi

    Mgombea Udiwani Kata ya Forest jijini Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Yassin Ngonyani amezindua Kampeni kwa kuweka vipaumbele vyake vya kusaidia makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo katika kuwainua kiuchumi ikiwemo kuwasaidia kupata mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri ya jiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…