ngombale mwiru

Kingunge Ngombale–Mwiru (30 May 1930) – 2 February 2018 was a Tanzanian politician.
Kingunge was a leader in the Tanganyika African National Union (TANU).
Kingunge was not religious, although he respected all religions. He was known for taking oaths without using any holy book, such as the Bible or the Quran. Instead, he would take the oaths for his governmental positions by using the Tanzanian Constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Ngombale Mwiru awavaa wakuu wa mikoa wanaoonya kuhusu maandamano, asema wanatafuta teuzi

    Mgombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kunje Ngombale Mwiru AAFP ameendelea na kampeni katika Mkoa wa Tabora ndani ya Wilaya ya Nzega. Mgombea Urais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kunje Ngombale Mwiru amewavaa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ambao wanatishia wananchi...
  2. GE2025 Kunje Ngombale Mwiru: Kwa takribani siku 40 za kampeni, nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 75 Urais wa Tanzania

    Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia 75. Kauli hii aliitoa mkoani Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…