Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za:
config.js
_document.js
_app.js
Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie...