Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar.
Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda ambaye ni ingizo jipya katika dirisha kubwa la usajili
================
Nani kuanza msimu na...
MATCH DAY
Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Yanga SC wanaingia...
Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Muungano Cup wapo uwanjani New Amaan Complex Visiwa Zanzibar wakicheza na Muembe Makumbi
Hadi sasa Dakika 31 Yanga anaongoza goli moja liliofungwa na Prince Dube
Shekhan anapiga chuma ya 3 kwa upande wa Yanga.
Dakika 57, Dube anaweka kamba ya nne
Wakuu
Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye.
=
Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni.
CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
Nashauri mechi za Caf zote uwanja wetu wa nyumbani uwe uwanja wa Aman Zanzibar!
Au mnasemaje ndugu zangu! Yanga hii inafungwaje! MBELE DAIMA NYUMA MWIKO!!!
⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Sbs 0- 0 yng
Dakika ya 3
Boka amefanyiwa madhambi
Dakika 6
Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage
Dakika ya 15
Yanga wanafanya...
Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..!
Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal?
Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan.
Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa...
atolewa kwa penati
azam apoteza mechi
azam fc vs yanga
bingwa crdb
bingwa crdb cup
crdb bank federation
fainali cradb
mikwaju ya penati
newamaancomplex
yanga bingwa