Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao wakimuomba Mwenyezi Mungu amlinde mpendwa wao huko aliko na arejeshwe akiwa salama...