Ndege ya Rais Marekani Air Force One imelazimika kurudi kwenye Joint Base Andrews kutokana na “tatizo dogo la umeme,” kulingana na Afisa wa Ikulu ya White House.
Rais wa Marekani Donald Trump bado anatarajiwa kwenda Davos, Uswis na amelazimika kupanda Ndege ya akiba.
Kulingana na taarifa za...