Wakuu,
Watanzania tulipokea barua ya Nchimbi kujiuzulu kupitia mitandao ya kijamii, hakutoa Press au kusikia akihojiwa sehemu, na baadaye Rais Samia akasema amepokea barua yake ya kujiuzulu, kamati ya CCM ikasema imemvua uanachama na kwamba hawamtambui tena na Makamu wa Rais mteule akatajwa...
Jibu ni HAPANA.
Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...