nchi za afrika mashariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika Mashariki kusoma bajeti mwaka wa fedha 2026/2027 leo Juni 11, 2026; Nini maana ya bajeti hii kwa wananchi?

    Leo, Juni 11, 2026, nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinasoma bajeti zao za mwaka wa fedha 2026/27. Nchi hizo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Somalia. Bajeti ni mpango wa serikali unaoeleza kiasi cha fedha...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi za East Africa zimekubali Oil refinery ijengwe Tanga, lakini Tanzania bado inatafakari. Dubai kunani?

    Nchi wanachama wote wameshakubali refinery ya mafuta kutoka Uganda iijengwe Tanga. Cha ajabu Tanzania hadii sasa bado wanashauriana ijengwe Tanga au Dubai. Rais ya wa Kenya Ruto amesema kwamba Nchi yake imeshakubali, uganda wamekubali, Rwanda wamekubali. Bado Tanzania ndo hawqjakubali refinery...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…