Wakuu habari..
Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, karibu mwezi mzima sasa nimekuwa nikiota nakula chakula ndotoni na watu mbalimbali ninao wafahamu na nisiowafahamu.
Hali hiyo inanikera sana mana ukiamka asubuhi tumbo linakuwa limejaa then linakuwa kama MTU mwenye gas tumboni hata...