Weekend yaendaje waungwana?
Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia
Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7.
Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa...