Habari wakuu.
Takribani majuma mawili yaliyopita nilipost thread katika Jukwa ili thread yenye title : NATAFUTA KAZI YEYOTE ILE nashukuru Mungu japo kuwa muitikio haukua positive directly ila indirectly ulinifungua sana akili nakuniwezesha kuona opportunity ambayo inaweza zalisha kipato...