mzunguko wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tarehe 9/9/2025,: siku inayotawaliwa na namba 9, namba ya ukamilisho wa mzunguko wa maisha

    Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9). Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na...
  2. Nayachukia maisha sababu ya kifo

    Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali. Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya kupoteza mtu ambaye alikuwepo kwenye maisha yako na ghafla hayupo tena. Nayachukia sana maisha kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…