mwonekano airtel stadium

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: Singida BS 1-2 Simba SC | Ligi Kuu ya NBC | Singida wametepeta!

    Matokeo: Singida Big Stars Goli: Mossi Ndumumwe 38 Simba SC Goli: Anicet Oura 07 Goli: Elie Mpanzu 85 📍 Uwanja wa Airtel, Singida Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
  2. Video: Mwonekano wa Uwanja wa Singida BS ulipewa jina la AIRTEL STADIUM

    Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…