mwita waitara

Mwita Mwikwabe Waitara (born 17 July 1976) is a Tanzanian politician and a member of the CCM political party. He was elected MP representing Ukonga in 2015.He left his political party CHADEMA and join CCM from 28 July 2018. On 10 November 2018 he was appointed as Deputy Minister of State by President John Magufuli. On 13 November 2018 he was officially sworn in as Deputy Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  2. JamiiForums Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

    "Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.
  3. JamiiForums Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  4. JamiiForums Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, hata Rais ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao

    Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, unatoa maelekezo hata mheshimiwa Rais juzi ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao ambayo kwakweli ni makosa makubwa sana. Sisi tunatakiwa kupata muongozo kwa kiongozi mkuu wa Nchi, Rais ni Taasisi, sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…