Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.
Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵
Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...