Habari wanaJF,
Ni jioni nyingine tena nakuja hapa kumalizia siku hii. Nikiwa hapa, nilipiga picha ya kumbuukumbu za maisha ya hapo nyuma. Nikagundua cycles fulani zinazojirudia rudia. Na cycle (mzunguko) unapoisha, huna budi kuanza tena.
Mwanzo huwa ni mgumu. Maisha sio rahisi baada ya...