Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili.
Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa mwanamke mwingine sasa ananisumbua sana anataka asepe kwao.
UPDATE:jamani niwashukuru sana kwa ushauri...