mwanamke kuomba hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi hili tatizo la wanawake kuomba wanaume pesa kwenye mahusiano ni Tanzania pekee au ni dunia nzima?

    Katika kuangalia filamu mbalimbali za nchi za magharibi, nimegundua kwamba tatizo la kuombana ombana pesa kwenye mahusiano lipo hapa Tz tu, sidhani hata kama Kenya, Uganda au Rwanda wana haya mambo. Jamani, mwanaume akiingia gharama za outing ambapo analipia usafiri (gari yake), chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…