mwanahabari

  1. Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea. Ni siku 10 na hajulikani alipo

    Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK. KUHUSU AZORY GWANDA Azory Gwanda alizaliwa 1975 na alikuwa ni mwandishi wa habari wa Kampuni ya ya Mwananchi Communications iliyopo jijini Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…