Habarini raia.
Najiuliza kwann kuna watu huwa wanapenda makelele muda wote. Unakuta mtu labda anakaa nyumba ya kupanga ambayo kuna wapangaji wengine eneo hilo, akifika yeye atafungulia muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kero kwa wengine. Atafungua na mlango kabisa as if mliomba awafungulie...