muungano uvunjwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Muungano uvunjwe au Tanganyika iwe na Serikali yake pia kama Zanzibar hutasikia chokochoko, tofauti na hapo tujiandae kwa vita nyingi sana

    Zanzibar kuna raisi, Tanganyika raisi ni nani? Wapeni Tanganyika serikali yao mambo bado mabichi Hali ikiwa mbaya zaidi hatutaweza kuzuia, kuziba ufa ni Bora kuliko kujenga ukuta. Kama tumeona Kuna haja ya kuwa na waziri wa muungano tena makosa yanarudi kulekule ni mzanzibar hapo kwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…