Maisha yalibadilika, wasomi (wetu) wakaanza kuziona thamani zao katika ombwe la utupu. Walishindwa kuthamini hata vyungu vilivyowapika wakajiona wameiva. Wengine waliamua kujiita wamepikwa matopeni. Lakini kubwa ni kwamba tuna falsafa. Itikadi ambazo zinafumbatwa katika lugha zetu. Pengine...