mungu hayupo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  2. S

    Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani. Mungu hayupo, Nimemaliza.
  3. Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
  4. Mungu hayupo, usibishe

    Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO. Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni wepesi na weupe sana. Utamsikia anasema tu "THIBITISHA KUWA MUNGU YUPO" Hana hoja nyingine ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…