Simbachawene: Maandamno ya Desemba 9 ni haramu, mtandao utazimwa hali ikiwa mbaya. Polisi wafuate sheria wanapokamata mtuhumiwa, hakuna kuvaa kininja
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema maandamano yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9, 2025 ni haramu na...