Mohamed Ali Kibao alalamikia ukimya wa mamlaka kuhusu mauaji ya Baba yake, Mzee Ali Kibao, awashauri Rais na Waziri Mkuu kukiri yaliyotokoea
Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Mzee Ali Kibao September 2024, Mohamed Ali Kibao, mtoto wa marehemu ametoa malalamiko kutopata majibu yoyote kutoka...