MAKTABA: MUHIDIN ISSA MICHUZI NA PICHA ALIZOPIGA MAREHEMU MOHAMED SHEBE
Leo Maktaba imewapokea wapiga picha maarufu na wakubwa katika nayakati zao Muhid ''Ankal'' Issa Michuzi na Mohamed Shebe.
Muhidin Issa Michuzi amefika mwenyewe wakati Mohamed Shebe zilizokuwapo ni mkusanyiko wa picha...