Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zuber Bin Ally, amefika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yoseph lililopo Posta, Dar es Salaam, kuhani msiba wa Kardinali Polycarp Pengo, Februari 23, 2026 ambapo amesema atakumbuka kwa kuwa mtu Mwema.
Mufti amesema hawezi zungumza mambo yote kwenye Vyombo vya...