Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.
Mwisho ni haki yake kuchagua upande...