mtego wa online media

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahadi ya Makonda ya Bilioni 2 inavyoweza kuwa mtego wa kisiasa kudhibiti Online Media

    Moja ya mbinu ambazo kwa muda mrefu wanasiasa wamekuwa wakizitumia kufanikisha malengo yao ya kisiasa ni kutoa ahadi za kimkakati zinazolenga makundi maalumu ndani ya jamii. Siku chache baada ya kuapishwa, nimemsikia Waziri mpya wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, akitoa ahadi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…