Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya
=====
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...