Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Ileje, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Kisbert Kapondo, ametoa elimu kwa waendesha bodaboda wa Kata ya Itumba Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe akiwataka kuepuka kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Akizungumza Oktoba 19, 2025 na...