msiba wa kardinali pengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  2. Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…