Wakuu kwema! Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu kuna appk hizi mbili muhimu kwenye uwanja wa elimu yaani
Microsoft word
PowerPoint presentation
Nimekaa nikajiuliza Ms unaweza kuandaa nondo zako kwaajili ya kufundisha kama ambavyo unaweza kuandaa kwenye ppt
Naomba ufafanuzi akinifu...