mshahara wa mzize

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshahara wa Clement Mzize

    Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania? Hongera Ghalib Said Mohamed (GSM), Pia Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza hivyo. Kama ni hivyo hongera sana kwa wachezaji wazawa sasa mpira unalipa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…