Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa kauli hiyo leo Juni 4, 2025, Jijini Dar es Salaam alipowasilisha maazimio ya Kamati Kuu ya chama...