Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikisisitiza kuwa kuwa Luhaga Mpina sio mgombea urais wa.Jamhuri ya Muungano kwa kuwa alienguliwa, chama cha ACT Wazalendo kimesema bado Mpina ni mgombea wao mpaka kesi mbili zilizofunguliwa ziamuliwe.
Mpina alienguliwa Septemba 15, 2025 baada ya INEC...