moto morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morogoro: Moto mkubwa wateketeza Vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa furniture na baadhi za nyumba zilizopo jirani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro limedhibiti moto mkubwa uliozuka katika mtaa wa Ngoto Manispaa ya Morogoro na kuteketeza vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa samani za ndani na baadhi ya nyumba zilizopo jirani na eneo hilo. Moto huo ulizuka majira ya saa mbili usiku Machi 21...
  2. TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
  3. Kituo cha Maabasi Morogoro chawaka moto

    Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa kituo cha mabasi Morogoro kinaungua moto ====== Zaidi ya vibanda tisa vya Wafanyabiashara vilivyopo pembezoni mwa stendi ya Msamvu Manispaa ya Morogoro vimeteketea kwa moto huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Baadhi ya Wafanyabiashara katika stendi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…