Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba kwa mwaka 2025.
Hayo yalisemwa Juni 27, 2025 na Meneji Uhusiano wa MOI, Bw...