Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas.
Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!!
Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...