modestus kipilimba nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa. - Anaapaishwa leo mchana. Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…