DKT. MWIGULU: HAKUNA MNUNUZI MMOJA WA PAMBA MSIMU UJAO
▪︎ Amwelekeza Katambi kutoshikilia vitendea kazi kwa makosa ya faini
▪︎Ataka maandalizi ya barabara ya Kolandoto–Kishapu–Lalago yaharakishwe
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaruhusu wanunuzi mbalimbali kununua pamba...