mlonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Taarifa Muhimu Jihadhari Usitumie Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa Juani Hauna Manufaa Kiafya

    Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na...
  2. NATAFUTA MBEGU ZA MLONGE NIPO MWANZA

    kama inavyosomeka kwenye kichwa, Natafuta Mbegu za mlonge zikiwa kwenye tunda lake (drumstick) nanunua kwa gunia kama una magunia kuanzia 50 ama unaweza kupata magunia 50 nicheki 0692594263
  3. L

    Ushuhuda wangu kuhusu kupona Malaria kwa kutumia mbegu za Mlonge

    Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria. Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake. Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
  4. Kwa anayehitaji mbegu za Mlonge kwa wingi

    Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu. Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo miti ipo mingi sana. Kwakuwa ni majira ya kiangazi,miti hii imepukutisha majani yake kama miti mingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…